Manage MikroTik, vouchers, payments, captive portal and agents from one powerful dashboard. Dhibiti MikroTik, vouchers, malipo, captive portal na agents kutoka dashboard moja yenye nguvu.
A notebook for customers, Winbox for the router, a phone for M-Pesa confirmations, and a WhatsApp group for support requests. Nothing talks to anything else, and every new customer means more manual work. Daftari kwa wateja, Winbox kwa router, simu kwa uthibitisho wa M-Pesa, na kundi la WhatsApp kwa maombi ya msaada. Hakuna kinachoongea na kingine, na kila mteja mpya inamaanisha kazi zaidi ya mkono.
Your router, your customers, your money and your brand — in one dashboard that updates itself, so you don't have to. Router yako, wateja wako, pesa yako na brand yako — kwenye dashboard moja inayojisasisha yenyewe, ili wewe usilazimike.